Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

95% bro ukipiga vishoti vitano ini litakuwa na hali gani? Kuna siku nilikuwa frustrated nikapiga Smirnoff glasi kadhaa (40%) wee sitakaa nisahau siku ile halafu nilikuwa alone...

Ila Warusi na haya mambo ni chanda na pete. Hasa majira ya baridi hiyo wanakata tu....
95% kweli ni kiwango kikubwa sana baro, kama hujawahi kutumia vilevi alafu mara ya kwanza ndio unakutana na hii naamini unaweza kupata matatizo yatakayo kusababishia kifo..

Smirnoff ulipiga ile tamu au ilikuwa ile ngumu kumeza?
 
1586441663796.png


museveni, kenyatta wote wanafanya mazoezi ndaniiiii
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ila malezi ya mtoto umpendaye yanasumbua sana. Akipigwa ban tuumiao ni sisi walezi kwa kutokumuona humu.
Anzisha kikao,kikifika mwisho kama binti ametulia niite nami nichangiemo.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀 😀 😀

Jurgen Klopp amesema wakati akiwa kocha wa Borussia Dortmund alighairi kumsajili Sadio Mane kwa sababu ya muonekano aliomuona nao kwa mara kwa mara ya kwanza. Kipindi hicho Mane anacheza Red Bull Salzburg

Klopp anasema alivyomuona Mane alikuwa anaonekana kama Rapa, na kusema kuwa hana muda kudili na mambo kama hayo.
 
Back
Top Bottom