Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ukiweka hivyo ,anne atadai mguu tumboni aamini. Mpendwa atadai macho tumboni aaamin hivyo bana tupia full yaisheeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ππππ
Kwamba niweke kiganja tumboni alafu nipige picha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiganya ni kitu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiii ya sita au saba itaniumaaaaaa
si useme tu kama umezaliwa mwaka 2005 ndio maana playlist ya davet huielewiWe nae nyimbo zako Davet
muda huu nipo juu ya mkarafuu nasikiliza TBC,Daemusin uko wapi jamaa yangu ?
Nakuja kumbeba mtoto[emoji7][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi tufanye kikao cha kifamilia tuone itakuwaje. Tatizo hata sisi tukizubaa tunaweza kujikuta tunakula za uso. Malezi magumu sana asikwambie mtu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtoto kashindikana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Oh! Jizazisi useme tu kama umezaliwa mwaka 2005 ndio maana playlist ya davet huielewi
ππππ sawaUkiweka hivyo ,anne atadai mguu tumboni aamini. Mpendwa atadai macho tumboni aaamin hivyo bana tupia full yaisheeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona bado hujaleft?D unaniattack sana mpaka nakosa raha
95%? Jizazi....Ni dawa unachanganya au ni kinywaji...
kazi tu , kazi tuUkitaka kuua nyoka mpige kichwani..
Maisha kitendawili fikiri, japo utakiri kuwa machungu kama pilipili...
Hapa kazi tu ili tuje tuishike misimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unashiriki ya 6? Emu kajihalalishe huko πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiii ya sita au saba itaniumaaaaaa
Nilisahau badala ya kuleft nikarightMbona bado hujaleft?
hapo fatty JOE na rick ross wanatoka watatu kwenye hilo tumbo pekeeZe Don Himuselfu [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1413952
Nilijua kitambi changu ni kikubwa zaidi kumbe kuna wakali wengine ππZe Don Himuselfu [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1413952