Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😀😀😀 eti maini yana kazi, sema siunaona chapa ya Mrusi hiyo bro95%? Jizazi....Ni dawa unachanganya au ni kinywaji...
Kama ni kinywaji basi kuna maini yana kazi sana hapa duniani aisee...
Kwa mwili wako huo hata uhamishie makazi kwenye matenki ya mawese hutakaa unenepe ng'o! Ukiongezea na huo ushua wa gym ndo kabisaa...Nilijua kitambi changu ni kikubwa zaidi kumbe kuna wakali wengine [emoji23][emoji23]
Naye anaiga kauli za Jiwe? Au kwa vile wote wameoa akina Janet...na Kagame wao [emoji16][emoji16][emoji16]mwaka huu Uganda kuna uchaguzi?
Marufuku kufanya mazoezi mitaani (Gym,kukimbia nk) ni mikusanyiko, fanyia mazoezi nyumbani au chumbani kwako, mimi huwa narudi nyumbani usiku namkuta Mke wangu Mama Janet amelala, ila nakimbiaga kuzunguka chumba, nitawaonesha video ya jinsi ya kufanya mazoezi chumbani”-MUSEVENI
Nipo jamaa yangu leo Kuna kitu nilikuwa naangalia halafu nikakumbuka tushawahi kizungumzia.muda huu nipo juu ya mkarafuu nasikiliza TBC,
amani iwe kwako kaka mkubwa wa umri na fikra.......
jamani eeeeeeee Malcolm Lumumba amebadilisha jinaaa
95% bro ukipiga vishoti vitano ini litakuwa na hali gani? Kuna siku nilikuwa frustrated nikapiga Smirnoff glasi kadhaa (40%) wee sitakaa nisahau siku ile halafu nilikuwa alone...[emoji3][emoji3][emoji3] eti maini yana kazi, sema siunaona chapa ya Mrusi hiyo bro
Kataskopos ndiyo Malcom Lumumba? Come on man !!!Nipo jamaa yangu leo Kuna kitu nilikuwa naangalia halafu nikakumbuka tushawahi kizungumzia.
Kaka heshima yako.Kataskopos ndiyo Malcom Lumumba? Come on man !!!
Hahah!Kwa mwili wako huo hata uhamishie makazi kwenye matenki ya mafuta hutakaa unenepe ng'o! Ukiongezea na huo ushua wa gym ndo kabisaa...
On a serious note; kitambi siyo dili. Huyu utakuta ana mlolongo wa maradhi- BP, Kisukari, chronic fatigue na mbaya zaidi hata mnara si ajabu hausomi. Sasa maisha gani hayo bro? No milkshake?
Mimi huyu namdai picha fullUkiweka hivyo ,anne atadai mguu tumboni aamini. Mpendwa atadai macho tumboni aaamin hivyo bana tupia full yaisheeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heshima yako pia mkuu. Long time no see kumbe ulishabadilisha ID?Kaka heshima yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Itabidi tufanye kikao cha kifamilia tuone itakuwaje. Tatizo hata sisi tukizubaa tunaweza kujikuta tunakula za uso. Malezi magumu sana asikwambie mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]halafu ile ya watoto wa kitanga nishaipoteza eti[emoji1751]Hiyo