My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Ze Don Himuselfu [emoji1545][emoji1545]
View attachment 1413952
Aisee moto utawaka japo zote zimetusaidia sana kuishi kwa amani hapo duniani. Tatizo ni hiyo amri ya 6/7 tu. Zingine ziko poa [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiduku Lilo in da hausi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]walaaa najibana kuogopa dhambiKwanini unashiriki ya 6? Emu kajihalalishe huko πππ
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Aisee hatari
Huyu Uume wake hata hauonagi,Hata afanye hawezi kuuona Live
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
95% kweli ni kiwango kikubwa sana baro, kama hujawahi kutumia vilevi alafu mara ya kwanza ndio unakutana na hii naamini unaweza kupata matatizo yatakayo kusababishia kifo..95% bro ukipiga vishoti vitano ini litakuwa na hali gani? Kuna siku nilikuwa frustrated nikapiga Smirnoff glasi kadhaa (40%) wee sitakaa nisahau siku ile halafu nilikuwa alone...
Ila Warusi na haya mambo ni chanda na pete. Hasa majira ya baridi hiyo wanakata tu....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itabidi tufanye kikao cha kifamilia tuone itakuwaje. Tatizo hata sisi tukizubaa tunaweza kujikuta tunakula za uso. Malezi magumu sana asikwambie mtu [emoji16][emoji16][emoji16]
Kila siku nasemaga kuwa una mambo mengi, siumeona sasa[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]halafu ile ya watoto wa kitanga nishaipoteza eti[emoji1751]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kumbe wewe mdada ee?Aisee hatari
Huyu Uume wake hata hauonagi,Hata afanye hawezi kuuona Live
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nauliza tena jamani... uchaguzi wa Uganda unafanyika mwaka gani?
mwaka huu tunapambana na corona kwanza (Tukishinda hii vita hatutaki uchaguzi, museveni bado ana afya imara)
View attachment 1414003
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ila malezi ya mtoto umpendaye yanasumbua sana. Akipigwa ban tuumiao ni sisi walezi kwa kutokumuona humu.
Anzisha kikao,kikifika mwisho kama binti ametulia niite nami nichangiemo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilibadilisha mkuu japo jipo sana.Heshima yako pia mkuu. Long time no see kumbe ulishabadilisha ID?
Hapana,Dah kumbe wewe mdada ee?