Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mkuu we hatariNipo ukurasa huu wakuu nakuja mudo mudo![]()
Mkuu we hatariNipo ukurasa huu wakuu nakuja mudo mudo![]()
Bi Aisha nifuate PM tuzungumze kidogoKasema anataka likes
Correction: Mungu Akipenda wakuu kesho mtanikoma!Wakuu kesho mtanikoma tu
SawaCorrection: Mungu Akipenda wakuu kesho mtanikoma!
BigBabaAcha kesho nikomae na huu uzi mpka niukate
Kweli majukumu hayaachi mtu salamaKitambo wakuu
Mmenipa gap kubwa wenzanguHhahaaha umerudi moto
Mida ya wangaMida mibovu
Kama ni Baby S hapana mkuu. Tunakwenda kuchukua ng'ombe wa mahari mwishoni mwa mwezi huu. Muoaji ni Uniq japo Ho Chi Minh na jamaa mmoja mwingine bado wanapambana. Ulitafutwa sana lakini hakuonekana!My sweet baby bado yupo
Sambaza likes pokea likesDu nataka tena
Basi nmerudi na bahati ziozesheni kwa bi AishaKama ni Baby S hapana mkuu. Tunakwenda kuchukua ng'ombe wa mahari mwishoni mwa mwezi huu. Muoaji ni Uniq japo Ho Chi Minh na jamaa mmoja mwingine bado wanapambana. Ulitafutwa sana lakini hakuonekana!
Basi nmerudi na bahati ziozesheni kwa bi Aisha mgeni mwenzanguKama ni Baby S hapana mkuu. Tunakwenda kuchukua ng'ombe wa mahari mwishoni mwa mwezi huu. Muoaji ni Uniq japo Ho Chi Minh na jamaa mmoja mwingine bado wanapambana. Ulitafutwa sana lakini hakuonekana!
Na mimi ndiyo mzee wa data. Ukifanikiwa kwa Bi. Aisha lete mrejesho ili ni-update records...Basi nmerudi na bahati ziozesheni kwa bi Aisha