Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumebaki wachache hapa. Tupeaneni likes basi huku tunasonga mbele? Kichwa Kichafu unasemaje? Unafikiri Cole na Carpa sasa wanafanya nini? Si ajabu miwani ile mizuri yenye kutoa taswira ya Classic librarian imewekwa kwenye stuli pembeni mwa kitanda!
 
Back
Top Bottom