Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa jinsi ulivyomtukutu hadi familia yako inaakuogopa[emoji23][emoji23]
#mtotomtukutu
Umeona anko alivyoepa? Eti siye tumuweke Esta mtu kati kwanza na kama mambo yakienda vizuri mwishoni mwa kikao ndo tumuite aje amalizie kwa kutoa nasaha. Yaani sisi tule za uso na kukebehiwa eti tumepaniki bure tu halafu yeye aje atoe nasaha mwishoni?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…