Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.28337044279635994E18.jpg
 
Subiri tu bro. Kila kitu kitajulikana soon. Nimeona WHO wanaichimba mkwara Afrika kuwa "it is next as the number of cases are increasing exponentially". Halafu wakaanza kutoa idadi ya ventilators. Eti Burkina Faso nchi nzima ina ventilators 11 tu wakati population ni milioni kadhaa. Tayari michango imeanzishwa na wafadhili kununua ventilators tayari kuzileta nchi za Kiafrika...
Sijui ni hizi ngozi, sijui ni hali ya hewa kama wasemavyo laa sivyo naimani zile takwimu kubwa kubwa za baada ya masaa 24 zingetuhusu sana....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bora umeelewa somo bila hilo tusi usingeelewa mkuu.

So ubonge umeshaukimbia au?

Hahahahh Hapana ata sio tusi lako Nimejielewesha Mwenyewe [emoji28]
.
Amna Noma though [emoji2936][emoji95][emoji2935]

Ndio nimeukimbia Nina Six Pack Sasa
 
Back
Top Bottom