Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200409_184219.jpg

Kuongoza Watanzania ni kazi ngumu sana😅😅😅
 
95% kweli ni kiwango kikubwa sana baro, kama hujawahi kutumia vilevi alafu mara ya kwanza ndio unakutana na hii naamini unaweza kupata matatizo yatakayo kusababishia kifo..

Smirnoff ulipiga ile tamu au ilikuwa ile ngumu kumeza?
Ni ile chungu ambayo kuimeza hasa mwanzoni mwanzoni ni lazima ukunje uso. Ilikuwa kasheshe bro...
 
Back
Top Bottom