Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mambo mengine kama mbona kitambi kikubwa hivyo,huyu akidondosha rimoti anaiokotaje etc

Ni sawa na mwanamke kuona picha ya jimama na kuanza kuwaza papuchi ikoje jambo ambalo ni adimu kwa mwanamke mpenda wanaume kuliko mwanamke mpenda wanawake

Anyway mjadala uishe mkuu

[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimesoma koment yangu Nimegundua kitu, Hakuna shida Mimi kuongelea Filimbi Shida ni huo uwasilishaji wangu ndio umeleta ukakasi
.
La kuongezea Mimi nilikuaga Bonge Sana
Nlikua nahiy shida Ndio mana nikasema kwa unene huo yeye hawezi Hata afanye

Nakazia Shida ni huo ni Uwasilishaji wangu wala sio Mimi kuongelea filimbi
" Nimeandika Soft Sana Ndio Tatizo na ndio ulipaswa wewe useme hilo sio Mimi kuzungumzia filimbi "
Mfano. Mimi kutaja Uume hii imeleta Shida ningeandika neno Kama (Ndonga)
Yaani Ningeandika Kama vile Niko na Masela wala tusingefika huku
[emoji28][emoji28][emoji28]

Haya si Matusi haya Aisee ?
" kwa mwanamke mpenda wanaume kuliko mwanamke mpenda wanawake "
 
Back
Top Bottom