moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sijui kwanini kila nikiiangalia hii picha macho yanaona kitu cha tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]Yaani wewe nae kwa ubishiView attachment 1414196
Kikao kimebuma. Hakuna aliye tayari kula za uso aisee. Shangazi hapa kasema oooh eti tuache tu ni steji anapitia akiivuka atabadilika. Tumeishia kusali tu na kutawanyika [emoji16]Ankoo mjanja sana
Anatafuta wa kumvesha paka kengele[emoji23]
Pointmuhimu ni hapa burundi na Tanzania hazina tofauti na hazijauchukulia ugonjwa serious,hatuna ile panic kama ya wakenya. Watanzania wengi hasa wafuasi wa upinzani wanatamani action za kenya hapa nchini wanasahau hata bila hizo action tunapata tabu sanaKuna jamaa huko kailinganisha Tanzania na burundi huku anaiponda Tanzania kwa tawimu chache za wagonjwa huku akiisifia burundi kwa takwimu hafifu kisa hawana kipimo daah. Tanzania kipimo kipo dar tu sasa kuanza kulalamika tu ni upoyoyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miguu yote yote yaan kama CR7,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa unapiga freekick kama Ronaldo wa barca(asione cole hii)kwa jirani unae hapa unae mtaan unae maskini bradhaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Kikao kimebuma. Hakuna aliye tayari kula za uso aisee. Shangazi hapa kasema oooh eti tuache tu ni steji anapitia akiivuka atabadilika. Tumeishia kusali tu na kutawanyika [emoji16]
Huyo popoma sio g kweli?[emoji16][emoji16]Kuna jamaa huko kailinganisha Tanzania na burundi huku anaiponda Tanzania kwa tawimu chache za wagonjwa huku akiisifia burundi kwa takwimu hafifu kisa hawana kipimo daah. Tanzania kipimo kipo dar tu sasa kuanza kulalamika tu ni upoyoyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]miguu yote yote yaan kama CR7,[emoji23][emoji23]
Ila wewe
😂😂😂😂😂Sijui kwanini kila nikiiangalia hii picha macho yanaona kitu cha tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
#sitakimaswali
Yule B katuni mpenda churaHuyo popoma sio g kweli?[emoji16][emoji16]
yes, kipindi hicho nipo zangu Tabora.....Wachaaa
binti mrembo ila balaa lake sio la kitotohuyu binti mkorofi..... jasusi kutoka kwa wayahudi
Tatizo nilikuwa naangalia huku nafanya mambo mengine.season 1 tu,,, mbona iko vizuri, utakuwa sio mpenz wa series za aina ile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Disco limeingia mmasai[emoji126][emoji126]