Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pointmuhimu ni hapa burundi na Tanzania hazina tofauti na hazijauchukulia ugonjwa serious,hatuna ile panic kama ya wakenya. Watanzania wengi hasa wafuasi wa upinzani wanatamani action za kenya hapa nchini wanasahau hata bila hizo action tunapata tabu sana
Hii kitu tunaichukulia kisiasa zaidi.
Huku mtaani si kuzuri.
Na hospitali zetu sasa,Mungu atusaidie.
 
FB_IMG_1582700644231.jpeg
 
Back
Top Bottom