Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna jamaa huko kailinganisha Tanzania na burundi huku anaiponda Tanzania kwa tawimu chache za wagonjwa huku akiisifia burundi kwa takwimu hafifu kisa hawana kipimo daah. Tanzania kipimo kipo dar tu sasa kuanza kulalamika tu ni upoyoyo
Pointmuhimu ni hapa burundi na Tanzania hazina tofauti na hazijauchukulia ugonjwa serious,hatuna ile panic kama ya wakenya. Watanzania wengi hasa wafuasi wa upinzani wanatamani action za kenya hapa nchini wanasahau hata bila hizo action tunapata tabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…