D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hii ndo hali ya mzee wetu myoya kuanzia leo hadi jumanne[emoji23]View attachment 1414226
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkorofi wewe
Kuna mtu aliwahi kuleta uzi humu ukafutwa ghafla eti alishakamatwa. Ila zilikuwa ni tetesi...na picha kabisa ziliwekwa. Hakutaja mhusika ila watu wa code waliunganisha doti wakaanza kusema lazima atakuwa ni yeye...I hope yuko OK huko aliko au si ajabu alishachonga fyekero yumo humu anatuinjoi tu...
One of the greatest player ever in passing,dribbling, shooting and acceleration.....Robert Pires, kiungo
Robert Pires alikuwa Mfaransa mwingine aliyetikisa kwenye Ligi Kuu England akiwa chini ya Arsene Wenger, akishinda tuzo ya mchezaji bor wa mwaka kwenye Ligi Kuu England msimu wa 2001/02 wakati alipoisaidia Arsenal kubeba mataji mawili, Ligi Kuu England na Kombe la FA. Pires alifahamika vyema kwa uwezo wake wa kuuchezea mpira na kuonyesha soka la mvuto hasa katika msimu wa 2003/04, ambapo alifunga mabao 14 akishambulia kutokea kwenye kiungo ya pembeni.
Trump Korona imemchanganya anatukana kila mtu isipokuwa yeye mwenyewe.Nauliza ni yupi anashambuliwa kati ya Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dr.Tedros, WHO yenyewe, Nchi ya China au wote kwa pamoja?, tuweke nguvu katika kupambana na corona, hizi siasa nyingi kiukweli Afrika hatuzitaki, kwanza ni nani anazitaka?, sisi Afrika tunasimama na Dr.Tedros”- KAGAME
Maisha ni safari
myoyambendi ni mwanadamu mmoja aliyejawa na nidhamu, inaonekana pia ni muadilifu (natamani nimshuhudie live huyo muheshimiwa)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi mzee myoya
"Kula nanasi kwa hitaji nafasi mchuzi wa ndimu wanitia wazimu"---- Omar Mkali with Chuchu sound
amewatishia mpaka wahindi.....anahitaji chloroquineTrump Korona imemchanganya anatukana kila mtu isipokuwa yeye mwenyewe.