moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
"Funga Siku ya Jumatano ya Majivu,Usile Nyama siku ya Ijumaa Kuu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchumi umedidimia anaogopa atashindwa uchaguzi Novemba. Yote haya ni kutapatapa tu....amewatishia mpaka wahindi.....anahitaji chloroquine
swadakta......huko aliko huyo jamaa anatamani hizo picha zipotee kimiujiza.Maisha ni safari
Ile chinese flu inamtoa jasho daah hakutegemeaUchumi umedidimia anaogopa atashindwa uchaguzi Novemba. Yote haya ni kutapatapa tu....
Alizembea. Wakati Wachina wanahaha yeye yupo tu anajimwambafai washauri wake wanamwogopa wanamdanganya kuwa ugonjwa hautafika Marekani. Nchi haina hata masks wakati ina bajeti ya majanga ya mabilioni ya dola. Kwenye ghala la vitu vya tahadhari wamejaza ma ventilators ya zamani hayafanyi kazi. Leo hii Marekani anachangiwa mask na ventilators na Wachina na Warusi. Aibu sana na kujidai kote taifa tajiri lenye nguvu kwishnei...Ile chinese flu inamtoa jasho daah hakutegemea