D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mbele ya simba simama kidete usitetemeke miguu. Kisha mwangalie machoni bila woga wa aina yoyote ile, hata akikutisha vipi.
Mfalme Nebukadneza alipouvamia mji wa Yerusalemu na kuushinda katika mwaka wa tatu wa utawala wa Yehoyakimu, mfalme wa Yuda, aliagiza baadhi ya wana wa Israeli aondoke nao kurudi Babeli, kati ya mwaka 605 na 562 Kabla ya Kristo. Vijana watatu: Hanania, Mishaeli na Azaria (pamoja na Danieli) walichukuliwa katika kundi la kwanza la mateka.
Walipofika Babeli, maili 25 kusini kwa Baghdad ya leo, vijana hao walipewa majina mapya. Hanania aliitwa Shadraki, Mishaeli aliitwa Meshaki, na Azaria aliitwa Abednego.