Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Ahsante anko, na kwako piaBasi, endelea kutwanga kikorea na jirani yako .
Muwe na usiku mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante anko, na kwako piaBasi, endelea kutwanga kikorea na jirani yako .
Muwe na usiku mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni ile harufu ukijifanya unawauaWaliwahi kunitembelea,aisee yote hayo nilifanya lakini wapi
Yaani acha kabisa anko na shuka kila ukiamka lina vidamudamu
anko umeamua kunipa cheo cha ulinzi wa threadBasi, endelea kutwanga kikorea na jirani yako .
Muwe na usiku mwema [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaaaaaa wale wadudu wana balaaaWaliwahi kunitembelea,aisee yote hayo nilifanya lakini wapi
Weka tu mkuuSasa itakuaje ?[emoji50][emoji50]
Hizi Six Packs wanaonaga mademu zangu tuu
hii picha ulioituma haifunguki
utatu mtakatifu
View attachment 1414280
dennis bergkamp hakupewa heshima inayostahili na wapenzi wa soka (kuna msemo unasema mtumikie kafiri uende zako na ndicho kilichomtokezea dennis, pires, wiltord, ljungberg)Utatu ulisumbua sana mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Sidhani kama kitatokea kikosi kikali kama hicho ndani ya Arsenal kwa siku za hivi karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama bro, huku hatujambo... Kwema huko?Bro.
Hali yako
Hivi wanaume bado tu hamjaachaga kutafuta sababu za kuhalalisha uzinzi wenu ??