Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama wana elimu wanaweza kuwa wajenzi huru; lakini kama hawana elimu, hawawezi kuwa wajenzi huru.

Shetani ni mjanja sana. Anajua bila elimu hataweza kutawala dunia, baada ya mpango wa Mungu kukamilika. Anajua, mtu akipata elimu ni rahisi sana kujua kama Shetani hayupo. Hivyo Shetani atatimiza malengo yake bila watu kujua.
✔✔
 
Pale Liverpool tunawakumbuka watu kama Murphy, Steve Mc Mcmanaman, Robbie Fowler, Neil Ruddock, Phil Babb, Jamie Redknapp, Mark Wright na golikipa mtata Steven James
Ray Parlour alikuwa ni mzungu kichaa.......dah! watu wagumu wameshapita na nyakati zao.
tony adams, lee dixon.

pale liverpool alikuwepo danny murphy, hammann.
 
Back
Top Bottom