Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
😀😂😂😀😀 huyu ni just sul??
😀😂😂😀😀 huyu ni just sul??
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe tumeona kitu kimoja.
Mimi kila nikiangalia naona ni big ass inaveshwa skin jeans[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂 broKD kaiweka makusudi. Mtu wa siksi packs na vitambi wapi na wapi? Mjanja sana huyu [emoji16][emoji16][emoji16]
Umezungumzia Liverpool, nmemkumbuka Dirk Kyut.. Winga toka Uholanzi,huyu mtu huwa namkumbuka kwenye ile fainal ya kihistoria Liverpool Vs AC Milan
leo TTCL wamejisahau?
nimejiunga MB 500 tokea asubuhi........ nimeshatumia mpaka nimechoka (kuperuzi kwenye tovuti za kawaida)...
nimeangalia videos na bado naendelea kuangalia videos mpaka muda huu
Ni kwa ajili ya Korona labda. Hapa mimi mtandao ni bure kabisa mpaka Mei 31. Hata ule GB 50 kwa siku ni friiii
Mungu atupe afya na uzima
Namba 7 na 8 wakitoa takwimu za kweli hali ni mbaya zaidi.Malawi mgonjwa mmoja amesha fariki, wamesha tangazaCOVID 19.
Maambukizi ya Corona
Afrika Mashariki na nchi jirani.
1.Kenya 184 vifo 7
2.DR Congo 180 vifo 18
3.Rwanda 113
4.Uganda 53
5.Zambia 39 kifo 1
6.Tanzania 25 kifo 1
7.Msumbiji 17
8.Malawi 8
9.Burundi 3.
Maambukizi haya kwa wiki hii yanaonyesha kwamba Kenya inaenda mahali pagumu zaidi.
Msumbiji ambayo kwa muda mrefu ilikuwa na wagonjwa wachache na yenyewe namba zinapanda haraka.
Uganda na Zambia hali siyo mbaya sana.
Hii Kwa mujibu wa Mashirika ya Habari
Namba 7 na 8 wakitoa takwimu za kweli hali ni mbaya zaidi.Malawi mgonjwa mmoja amesha fariki, wamesha tangaza