NaddySL
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 995
- 5,193
Is f** intelijent? Sio ndio mnakandia kichwa kile hakina akiliππππ like serious? Am i intelligent as fvck.?
Intelijensi mtu anazaliwa nayo au ni ya kufundishwa? (20 maksi)ampeleke CIA akafundishwe
πββοΈπββοΈπββοΈwoiiIs f** intelijent? Sio ndio mnakandia kichwa kile hakina akiliπ
hufundishwa (sina uhakika)Intelijensi mtu anazaliwa nayo au ni ya kufundishwa? (20 maksi)
na wewe Ameen.......mpaka mmoja akubali kushindwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na wewe Ameen.......mpaka mmoja akubali kushindwa
*****woga wako ndio umasikini wako***Kama wana wa Israeli waliweza kusimama kidete mbele ya simba na ndani ya tanuru, katika kipindi ambacho watu hawakumjua Mungu nje ya Israeli, mimi na wewe tutashindwa vipi leo?
Kuwa jasiri mbele ya simba na tanuru la maisha yako, kusudi mwisho wa siku Mungu atakapokutofautisha kimaisha, uende zako paradiso. Ukiogopa kushindwa hutashinda. Woga wako ndiyo umaskini wako.
unaogopa kunguni?*****woga wako ndio umasikini wako***
Hii ndio raha ya kuchelewa kulala.
Ubarikiwe sana [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio mzimana wewe Ameen.......mpaka mmoja akubali kushindwa
Wewe huogopi? Usiombe wakutembeleeunaogopa kunguni?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji120][emoji120]na wewe Ameen.......mpaka mmoja akubali kushindwa
Asavali umefika Anko, ndio nilikuwa nakaribia kufika kituo cha polisi cha Kakonko kuripoti kukosekana kwako.Wewe sio mzima
nimeshayapitia hayo maisha.......usinitishe madameWewe huogopi? Usiombe wakutembelee
Hawa watoto wa kiarabu watawajulia wapi kunguni zaidi ya kwenye vitabu?Wewe huogopi? Usiombe wakutembelee
Hahaha nipo anko, ahsante kwa kunijali[emoji120][emoji120]Asavali umefika Anko, ndio nilikuwa nakaribia kufika kituo cha polisi cha Kakonko kuripoti kukosekana kwako.
Kwema mama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliwahi kunitembelea,aisee yote hayo nilifanya lakini wapinimeshayapitia hayo maisha.......usinitishe madame
enzi hizo kunguni wakishazidi...... unaondoa godoro baadae kitanda unakimwagia maji ya mapovu.....
Basi, endelea kutwanga kikorea na jirani yako .Hahaha nipo anko, ahsante kwa kunijali[emoji120][emoji120]