Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

umeona wapi simba kukimbilia mjini, huko mbugani hakuna tena nyumbu?

huenda ana hamu ya urojo
Hawa wanyama huwa hawapendi fujo na makelele haswa vinavyosababishwa na shughuli za kibinadamu, baada ya miji mingi kufanya Lockdown kumekuwa na utulivu wa hali ya juu. Sasa nahisi swala la utulivu ndio limempa ujasiri na hamu ya kujitanua hadi mjini kutafuta riziki yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…