Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20200410-084102.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Marahaba sis. Kila kitu kiko salama. Ni haka kamdudu Korona kanatingisha sana ila mambo ni shwari. Mashamba na mifupo na hata majirani nao wako poa. Kwako huko vipi?

Bado napanga na kupangua gia ya kuingilia home. Ni kama mzazi aliyeitelekeza familia fo twenti yiazi na sasa anapiga mahesabu jinsi ya kurudi. Jizazi wili givu mi ze kareji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Namshukuru Mungu brodah'..! Tunaendelea kupambana si unajua wagumu tunadumu..!?
Mungu atulinde na kutuepusha kiukweli..!!

Mdogo wako bado niko imara, Promish you thach 'I won't let you down sindiyo eeh'.!? And that is what I will do.!!
 
Back
Top Bottom