Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,845
Mkuu usishupaze shingo, wamesema namba sita ni spesho,iache. Kwani namba 1,2,3,4,5,7,8,9,....hazijadiliki?Mbona tumemjadili kiungo mchezeshaji Freddie Ljungberg iweje tumuache kiungo mkabaji Paul Ince[emoji23][emoji2089][emoji2089]
Shughuli imeanza sasa.Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid Mohammed amesema wameongezeka wagonjwa wawili wa corona na kufanya idadi ya wanaougua ugonjwa huo Zanzibar kufikia tisa, wagonjwa hao wapya hawakuwahi kutoka nje ya kisiwa hicho
Nimepata shida sana kumuona.[emoji3][emoji3]View attachment 1414935
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti kama ulivyoweka kiti
Anko [emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti kama ulivyoweka kiti
Uongo huo [emoji38][emoji38][emoji38]
Salama anko habari ya wewe?
😀😀😀😀 inataka muda kidogo kuukata huo ubaguzi wa kutokumuonaAisee [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Nimepata shida sana kumuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo neno la ubaguzi ndilo limenifanya nirudi kumtafuta tena [emoji1][emoji1][emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] inataka muda kidogo kuukata huo ubaguzi wa kutokumuona
Unanifundisha kutoroka??Ndio utoroke twende kanisani
Weka hapa tu mkuuUongo huo [emoji38][emoji38][emoji38]
Njoo PM nikuoneshe jumla jumla Mkuu
Anko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Have a blessed 'Good Friday Dears'..!!