Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,621
- 29,671
Hahhahaa..
absolutely bby C'ssy..!!
Ni kweli kabisa
Upako Anko, upakoooo wa malaika umenidondokea kwa mara ya kwanza [emoji1][emoji1][emoji1]Hahhahaa..
Ankoo umeona nini mpaka umefurahi hivyo.?
Ntaweka Ngoja Niombe ruhusa Kwanza π’
πππHilo neno la ubaguzi ndilo limenifanya nirudi kumtafuta tena [emoji1][emoji1][emoji1]
Vipi, Ijumaa kuu inakwendaje huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika Mungu ni mwema.[emoji3][emoji3][emoji3]
Inakwenda kawaida tu Anko, sijui huko kwenu?
and me too......Have a blessed 'Good Friday Dears'..!!
Pamoja na usoNtaweka Ngoja Niombe ruhusa Kwanza [emoji22]
Unabalaa Wewe full pamoja na nini ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HeeeHakika Mungu ni mwema.
Anko, kuna baraka nimeiona hapo juu... Jamani!!!
Nadhani Stella hajaiona japo alikwotuliwa yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uliweka picha bila taarifa jiandae kuweka upya[emoji3][emoji3][emoji3]
Inakwenda kawaida tu Anko, sijui huko kwenu?
Namshukuru Mungu brodah'..! Tunaendelea kupambana si unajua wagumu tunadumu..!?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Marahaba sis. Kila kitu kiko salama. Ni haka kamdudu Korona kanatingisha sana ila mambo ni shwari. Mashamba na mifupo na hata majirani nao wako poa. Kwako huko vipi?
Bado napanga na kupangua gia ya kuingilia home. Ni kama mzazi aliyeitelekeza familia fo twenti yiazi na sasa anapiga mahesabu jinsi ya kurudi. Jizazi wili givu mi ze kareji [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Aisee! Basi nahisi ata mimi imenipita hiyo AnkoHakika Mungu ni mwema.
Anko, kuna baraka nimeiona hapo juu... Jamani!!!
Nadhani Stella hajaiona japo alikwotuliwa yeye
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ