moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Wacha wee
😂😂😂 dah!#ulinidanganya
#sikujuaniaminiipi
[emoji23][emoji23][emoji23]
Itakuwa kitu imejibu hukoHapa kitaa kuna mshukiwa mmoja wa COVID19 walimpeleka hospital naona usiku huu familia yake imekuja kuchukuliwa sasa sijui imekuaje huko?
#haliyatishasana
Hapa kitaa kuna mshukiwa mmoja wa COVID19 walimpeleka hospital naona usiku huu familia yake imekuja kuchukuliwa sasa sijui imekuaje huko?
#haliyatishasana
[emoji16][emoji16][emoji16]Hapa kitaa kuna mshukiwa mmoja wa COVID19 walimpeleka hospital naona usiku huu familia yake imekuja kuchukuliwa sasa sijui imekuaje huko?
#haliyatishasana
Unaona sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!
#ileyapilindioyenyewe
#ayanipeyakosasa
Duh! Macho hayana pazia
Huko kweli pabaya sana bro na kama unavyojua wananchi wengi wanaishi kama kuku, yaani atoke ndio ale chakulaNaogopa sana kufika huko bro.
Umasikini wa taifa hili kisha uanze kujificha ndani.
Makumi ya watu hawa tutawafanya nini?
Najua Mungu hapendi, walimwengu mna visa 😁Long weekend
#parteafterparte[emoji126][emoji126][emoji482]
Noma sana noma sanaItakuwa kitu imejibu huko
#halisinzuri
#tujikingetu
Yaani umenipeleka kote huko na sijaona[emoji51]Fatilia hapo juu kwenye ...... 636 na .....
637