Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naunga mkono bila kupepesa macho. Kupanga ni kuchagua
Kufa kwa corona ukiwa mtaani unatafuta kilo ya sembe ya watoto au laa kufa kwa njaa wewe na familia yako mkiwa kwenye Lockdown bila ya msaada wowote.
Vinginevyo wale wanaotaka kujizuia makwao naamini hawajakatazwaView attachment 1415615

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ukifika tutafikia tu huko labda namba zisizidi
 
Naogopa kucheka sana maana nusu tayari ipo kwenye familia yangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Binti yangu nikimwambia ni Msukuma anakataa anasema ni mnyakyusa, mtume dukani, ataenda peku na ukimlazimisha anazibeba kandambili mkononi [emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooo, kumbe ni kweli kwenye lift huwa wanavua viatu
 
Back
Top Bottom