Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unanitafutia kesi sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo unanitafutia kesi sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani anashika kandambili mkononi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nirudi kupambana na corona kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1979
FB_IMG_1586537914132.jpeg
 
Yule dogo Kiduku, yaani yeye babake na babu yake ambao wote wametawala taifa hilo, wameifanya jamuhuri ya watu Korea ni kama kisiwa, wamekuwa kama wanyama wa mwituni.
Hawana hisia zozote na mambo ya wengine.
Yaani wao ni mwendo wa kuchapa kazi na kuheshimu miiko ya taifa lao, bila kujali jirani zao Korea kusini na baba zao Marekani wanaongea nini.
Hutasikia wameenda kuomba msaada kwa China au Ujerumani.
Si kwamba hawana shida.
Shida zinazohitaji misaada wanazo lakini walishajiwekea utaratibu ambao umegeuzwa kuwa mila na desturi zao kuwa kuomba ni jambo baya sana.
Kwamba kuomba kunatweza utu wa mtu bila kujali umeomba nini.
Na hii kauli hapo chini nimeikuta huko mtaani, mzee wa Tandale MK254 nae kaongea yake. Naamini hatuja chelewa sana [emoji120][emoji120]

**********

Waafrika punguzeni kulalamika, mtatukanwa nyani hadi mtie akili maana nchi zetu hizi hatutaki kuziboresha, kila tunachogusa kinaangukia pua. Wenyewe tunabaguana weusi kwa weusi, kule Afrika Kusini ukiwa Mwafrika mgeni unaitwa makwerekwere na hawakawii kukutia mapanga wakikukuta maeneo fulani fulani.
Weusi hao walipokezwa nchi yenye uchumi mkubwa, wakaibamiza.

Binadamu ameumbwa mwenye desturi ya kuheshimu au kuogopa ubabe, nguvu na uwezo, ukiwa hauna ubavu wa kuwa mbabe utatukanwa tu na kudharauliwa. Waafrika hatuna chochote cha kutishia watu, labda mali ghafi zetu tu ambazo wao huchukua watakavyo.

Tungekua na teknolojia zetu za sayansi na kijeshi, tungeheshimika sana na ndio kitu alishagundua dogo Kim wa Korea Kaskazini, kwamba kupata heshima lazima uwe mtemi, uwe mgomvi ambaye haubabaishwi na pia unazo teknolojia zako na makombora yanarindima kwenye mazoezi.

Leo tumekaa tunasubiri msaada kutoka kwa hao hao Wachina, akina Jack Maa wanatuma madude ya kutusaidia kupima Corona, hivyo hata wakitutukana hatuna ubavu wa kuwajibu, maana wanaweza hata wakatia sumu kwenye hayo madude.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naunga mkono bila kupepesa macho. Kupanga ni kuchagua
Kufa kwa corona ukiwa mtaani unatafuta kilo ya sembe ya watoto au laa kufa kwa njaa wewe na familia yako mkiwa kwenye Lockdown bila ya msaada wowote.
Vinginevyo wale wanaotaka kujizuia makwao naamini hawajakatazwa
Screenshot_20200410-210802_Facebook.jpeg
 
Back
Top Bottom