Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Niko full charge na full bundle in Darasa's voice
Me mwenyewe mkubwa ndio maana niko macho sahivi.....
HahahaWewe ni mkubwa kutokea wapi...
Kiunoni kushuka chini au kiunoni kwenda juu...
Halafu usipokuwa na vocha hata calls na texts zinapungua.Kuna mahali nilisikia binadamu wakimbizana.. Simu isiyokua na vocha au bundle ni kama calculator tu... ni ya kuchezea game...
Kuna watu weekend yao itakuwa ni mwendo wa kufumuana nywele tu[emoji23][emoji23][emoji23]
#sijamaanishaulichowaza
#bakinamawazoyako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1415683
Sio picha me nataka umuone ostaz
Weekend ya kufumuana tu
[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Usiku wa ndizi
Usiku wa shark
Usiku wa mawindo[emoji23][emoji23]
Ene taimu iz banana taimu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]Usiku wa ndizi
Usiku wa shark
Usiku wa mawindo[emoji23][emoji23]
Watu wanapasha moto.....
Mimi namuelewa kitambo wala sina shaka nae sema wewe tu ndio ulikuwa unamchukulia poa
Ila hajamkaribia myoya.
Umeona hapo juu kaandika watu wanapasha moto