myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usiku mkubwa
Hata wewe shemeji? Tena hao wa kwako sasa ndiyo hatari tupu. Nusu Wasukuma nusu Wanyakyusa. Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16]Naogopa kucheka sana maana nusu tayari ipo kwenye familia yangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Binti yangu nikimwambia ni Msukuma anakataa anasema ni mnyakyusa, mtume dukani, ataenda peku na ukimlazimisha anazibeba kandambili mkononi [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you ma furendi. Be blessed [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE have a blessed Good Friday
Quarantine siku 14 inawahusu wote hapo hasa wale mliochangamana nao. Ukiamua kuhamisha kambi hakikisha huko unakoenda hakuna wazee au watu wenye afya mgogoro (just in case). Sana sana timukia Kusini kwa TH ukakate mwezi mzima huko.Hapa kitaa kuna mshukiwa mmoja wa COVID19 walimpeleka hospital naona usiku huu familia yake imekuja kuchukuliwa sasa sijui imekuaje huko?
#haliyatishasana
Itakuwa shida kubwa. Marekani wametoa dola trillioni mbili na kila Mmarekani (wakiwemo watoto wadogo) atapata angalau dola 1200 ili kujikimu angalau kwa chakula. Mabenki pia wamesitisha ishu za kurudisha mikopo angalau kwa miezi mitatu kwa watu waliokwama. Wanachotaka tu uwapigie simu na ueleze shida yako. Hata ma landlords hakuna kufukuza watu kwa sasa.Naogopa sana kufika huko bro.
Umasikini wa taifa hili kisha uanze kujificha ndani.
Makumi ya watu hawa tutawafanya nini?
Naogopa kucheka sana maana nusu tayari ipo kwenye familia yangu [emoji1][emoji1][emoji1]
Binti yangu nikimwambia ni Msukuma anakataa anasema ni mnyakyusa, mtume dukani, ataenda peku na ukimlazimisha anazibeba kandambili mkononi [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo unanitafutia kesi sasa [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani anashika kandambili mkononi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nirudi kupambana na corona kwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha ukurungez bado upo kwenye damu huyo..
Umeona comment ya anko sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anashika ndala mkononi
Nyote hamfai. Yaani mmekutana badala mdisikasi mambo ya maana mmekalia kutusema. Yaani mnaniudhi basi tu [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ankooo, kumbe ni kweli kwenye lift huwa wanavua viatu
Sasa kama mtoto hayuko komfotabo unataka afanyeje. Babake angekuwa makini angemuuliza kwa nini hapendi kuzivaa si ajabu angepata sababu nzuri sana. Watoto wana akili sana....Umeona comment ya anko sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti anashika ndala mkononi
Kama babu na bibi wanakaa huko usiende. Pambana na hali yako hapo hapo ulipo
Usije ukajaribu kwenda home hata kidogo. We pambana na hali yako huko huko uliko tu japo hali ni ngumu. Hapa wenye roho nyepesi wengine wanaacha kazi na kusema "Korona ikiisha kama bado mnanihitaji nipeni taarifa nitarudi". Tuombe sana shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Yaani corona inanifanya nighairi safari zangu kwakweli.
Ni wivu tu
😂😂😂😂😂😂Nilikuwa natest option ya kuingiza voice record hapa, kumbe inakubali sasa tunaweza tumiana ata voice 😀
AiseeUtamu uko kwenye ncha😀😀
Ndio ajabu ya ulimi.......
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naongea taratibu
Sauti yangu huwa siielewi naongea km nacheka sijui km nalia yaani hata sielewi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app