Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1586577058498.jpeg
 
Kama babu na bibi wanakaa huko usiende. Pambana na hali yako hapo hapo ulipo
Nataka niende kukaa mwenyewe.
Hapa Kuna dada yangu anatutia wasiwasi,japo ameenda hsp wakamwambia Ni homa ya kawaida..
Kazi yake inamfanya akutane na watu wapya kila sikiu,Tena wanaotoka huko dar na nchi jirani..Sasa akawa anasema anaumwa[emoji23]
Nikasema tobaa tumekwisha maana nacheza na mwanae..mama naye tumemwambia akae mbali maana ugonjwa ukija kasheshe ni kwake na kwangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quarantine siku 14 inawahusu wote hapo hasa wale mliochangamana nao. Ukiamua kuhamisha kambi hakikisha huko unakoenda hakuna wazee au watu wenye afya mgogoro (just in case). Sana sana timukia Kusini kwa TH ukakate mwezi mzima huko.

Kwa uandaeitini wako na ushua wako wa Gym waweza upate na usione hata dalili. Shida sasa ni hao vulnerable population (wazee na wenye matatizo ya afya) inayokuzunguka.

Take care of yourself bro...and no milkshakes until things cool down a little bit [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Hatujachanganyikana kabisa bro siunajua vile watu wanajifungia tu ndani mwao, nasikia huyo mshua alidondoka kutoka majuu na alianza kuugua home mpaka hali ilizidi ndio kwenda hospital...

Huyu TH sijui atakubali kunipokea huko kusini tukafanye kutengeneza Milkshake
🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Back
Top Bottom