andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kumekucha salama kabisa Ankoo, vipi huko ushuani kwema?Habari zenu waungwana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumekucha salama kabisa Ankoo, vipi huko ushuani kwema?Habari zenu waungwana
Jamaa shuain zakeYaani unaandika txt 6 unajibiwa moja tena jibu la kibabe linakokufanya uumwe corona[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa [emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo umeshahama location ya jana?Ilikuwa ni safari ya asubuhi sana kama naenda mkoa [emoji16][emoji16]
Hapa pia amani ipo Carba
Yaani inawezekana billnass alikuwa anaombea waachane arudishe majeshi kwa nandyBill alisubiria marehemu aende ndo aibuke chezea kunyang'anywa tonge mdomoni
Corona bebe [emoji137][emoji137][emoji137]Ankooo[emoji137][emoji137]
Aaaaaa..... Nimemuona rafiki yake kvant anabembea kwa raha zake... Maisha haya jamani
Corona bebe [emoji137][emoji137][emoji137]
Anko bado nakudai maelekezo... Kule unanikimbia, ushahidi hadi unakaribia kueksipaya [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesha nidhurumu haki yangu, nimeukosa mgao wangu kizembe sana. Najutaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ankoo hii kesi nije na wakili ama??
Ntakuja jion saizi naingia kupambana na covid kwanza
Ankoo mbona unanisimanga kisiasa? Ushuani wapi tena? Mimi sijambo
Ndio ndio 😀[emoji23][emoji23][emoji23] ndo umeshahama location ya jana?
Kushukuru kama amani ipo
Ankoo mbona wantia mashaka?[emoji23][emoji23]Umesha nidhurumu haki yangu, nimeukosa mgao wangu kizembe sana. Najutaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ndio [emoji3]