Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kupitia fedha za usajili ambazo watazipata kwa kuwauza wachezaji hao, kuna uwezekano mkubwa wa kuzitumia kama dau la kumfanya Messi kutua katika Jiji la Paris msimu ujao.
Anko bhana [emoji1][emoji1][emoji1]Ankoo mbona unanisimanga kisiasa? Ushuani wapi tena? Mimi sijambo
Hahah! Nililala sema kitu pekee kilichokuwa kichwani kwangu ni hicho 😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi jana baada ya tukio ulilala kweli??
Kama ni hivyo fresh
#jilinde
Na mgao wangu si ndio?Ankoo mbona wantia mashaka?[emoji23][emoji23]
Jioni nitakuwa mlangoni nabisha hodi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeanza
Ngoja stella aje kuuliza kufumuana nini
Hahaha anko bwana yaani nipande na sifa za uongo? Ahsante anko, nikutakie kusherehekea kwemaAnko bhana [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukipandishwa juu na wewe panda kwa kasi hadi watu washangae... Maisha ni haya haya acha tusifiane wenyewe. Mbona wafu huzikana wenyewe?!
Karibu Pasaka Anko [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Myoya nakukumbusha asubuhi ndo hiiNtaweka...nasubiri asubuhi ili iwe na mwanga mzuri[emoji3][emoji3]
Ndio, siku kama ya leo ndio siku ya kufumua nywele na kusuka upya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona wanafumuana nywele
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante Ankoo [emoji120][emoji120]Hahaha anko bwana yaani nipande na sifa za uongo? Ahsante anko, nikutakie kusherehekea kwema
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo anko unataka niwe mkali, nafukuza wachumba etiAhsante Ankoo [emoji120][emoji120]
Ila umekuwa mpole sana siku hizi.Sijakuzoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachumba wenyewe dizaini za akina Yego wa nini? Waende tu, waje wale wanao weza kuhimili mikiki miliki ya mwanamke imara asiye tetereka [emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo anko unataka niwe mkali, nafukuza wachumba eti