Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini pia ikiwa PSG itafanikiwa kumuuza straika wake, Neymar kwenda Barcelona, basi dili la Messi kujiunga na miamba hiyo litakuwa rahisi zaidi kwani PSG itakuwa na kaisi cha fedha cha kutosha lakini pia itahitaji kutafuta mbadala wa Neymar
 
JUVENTUS

Je, Messi na Cristiano Ronaldo wanaweza kuwa timu moja? Pengine ndio swali linalokuandama kwenye kichwa chako baada ya kuona jina la miamba hiyo ya kule Italia. Jibu ni ndio. Lakini hii inatokana na uamuzi wa kocha wa sasa wa kikosi cha Manchester City, Pep Guardiola.
 
Ankoo mbona unanisimanga kisiasa? Ushuani wapi tena? Mimi sijambo
Anko bhana [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukipandishwa juu na wewe panda kwa kasi hadi watu washangae... Maisha ni haya haya acha tusifiane wenyewe. Mbona wafu huzikana wenyewe?!
Karibu Pasaka Anko [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa Juventus itanyakua Guardiola ajiunge nao, basi uwezekano wa Messi kujiunga na klabu hiyo utakuwa mkubwa zaidi. Kwani Guardiola anaonekana kuwa ni mtu ambaye Messi atapenda zaidi kufanya naye kazi. Mapema Febuari Juventus ilihusishwa na taarifa za kutaka kumuajiri Guardiola hivyo huenda kuelekea msimu ujao Pep akajiunga na miamba hiyo jambo litakaloleta asilimia zaidi ya 70 Messi kutua Italia.
 
INTER MIAMI

Kwa sasa klabu hiyo inamilikiwa na straika wa zamani wa Manchester United, Real Madrid, PSG na LA Galaxy, David Beckham ambaye tangu Septemba mwaka jana amekuwa akieleza shauku yake ya kumuona Messi siku moja akiwa katika jiji la Florida kule Marekani, ili kuichezea klabu hiyo ya Inter Miami.
 
Anko bhana [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukipandishwa juu na wewe panda kwa kasi hadi watu washangae... Maisha ni haya haya acha tusifiane wenyewe. Mbona wafu huzikana wenyewe?!
Karibu Pasaka Anko [emoji120][emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha anko bwana yaani nipande na sifa za uongo? Ahsante anko, nikutakie kusherehekea kwema
 
[emoji16][emoji16][emoji16] kwa hiyo anko unataka niwe mkali, nafukuza wachumba eti
Wachumba wenyewe dizaini za akina Yego wa nini? Waende tu, waje wale wanao weza kuhimili mikiki miliki ya mwanamke imara asiye tetereka [emoji1][emoji1][emoji1]

Usibadilike sana, tunakosa uwepo wako hapa. Hata Stella akiacha ubishi nae nitamuomba asiache...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…