Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madrid imefuata nyayo za Barcelona na Atletico Madrid ambazo tayari zilitangaza mapema kukata asilimia 70 za mishahara ya wachezaji wao katika kipindi hiki, huku Juventus ya Italia, wachezaji na Kocha Mauricio Sarri wamekubali kutochukua mshahara kwa miezi minne ili kuokoa ajira za watumishi wengine wa klabu hiyo ambao sio wachezaji.
 
Kufikia jana Alhamisi, ni klabu ya Southampton pekee iliyokubaliana kukatwa sehemu ya mishahara yao kwa miezi mitatu ya Aprili, Mei na Juni, ili kuwawezesha watumishi wengine wa klabu hiyo wasio wanasoka kulipwa asilimia 100 ya mishahara yao.
 
Tangu kuibuka kwa janga virusi vya corona, klabu za Ligi Kuu ya England zimekuwa zikikosolewa vikali kwa kuendelea kuwalipa wachezaji mamilioni ya pesa huku zikiwaacha watumishi wengine, wakiwamo walinzi, wakikatwa mishahara yao na kulazimika kuingia katika mpango wa kuwezeshwa na serikali ili angalau wafikie pato la Pauni 2,500 kwa mwezi.
 
Kuna wanamichezo wanaolipwa pesa nyingi zaidi ya wanasoka. Wacheza soka ni kama hawapati kitu ukilinganisha na wanacholipwa wacheza baseball, NFL, kikapu. Mnafanya ionekane kama vile wachezaji wetu wanaweza kununua magari ya Rolls-Royce ya dhahabu kila siku. Haiko hivyo.”
 
Back
Top Bottom