Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Rooney, katika safu yake ya Gazeti la Sunday Times, aliongeza: “Kwa vyovyote utakavyoliangalia suala hili, sisi tunageuzwa mbuzi wa kafara. Tunachopata, nusu ya mishahara yetu inakatwa kodi. Hizo pesa zinaenda serikalini, na ndiyo pesa zinazosaidia sekta ya afya. Na vipi kuhusunyota wa michezo mingine?”
 
Mbali ya mijadala hiyo, nahodha wa Liverpool, Jordan Henderson, ameanzisha mfuko wa hisani kwa ajili na mahodha wa klabu zote 20 za Ligi Kuu ya England kwa ajili ya kuchanga pesa za kusaidia sekta ya afya katika mapambano dhidi ya corona.
 
IMG-20200411-WA0011.jpg
 
Back
Top Bottom