D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
😀😀😀
Incredible ya jamaa anaitwa "One"Mimi sukubali
Nilijitahidi kuupenda nikashindwa
Ila kuna ngoma flani inaitwa incredible
Sijui Ni ya nani
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀Mimi sukubali
Nilijitahidi kuupenda nikashindwa
Ila kuna ngoma flani inaitwa incredible
Sijui Ni ya nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi elewaSikiliza zile flow za kinyamwezi
Sijui hata ni ipiIncredible ya jamaa anaitwa "One"
Hizo incredible zipo mbili, OG ambayo yupo mwenyewe na Rmx ambayo yupo na Cheed, Sterio, na Izzo B
Hivi kumbe Hadi nyinyi mnaamini kuhusu hili?Mchana wa kula kula tukiomboleza mateso ya mkombozi Masihi mwana wa MariamView attachment 1416206
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawezi elewa
Nadhani