Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

COVID 19.
Maambukizi Barani AFRIKA mpaka Leo asubuhi YA APR, 11, 2020.

1. Afrika Kusini 2003
2.Misri 1794
3.Algeria 1761
4.Morocco 1448
5.Cameroon 820
6.Tunisia 671
7.Ivory Coast 488
8.Burkina Faso 428
9. Nger 438
10. Ghana 378

Chanzo cha habari ni Chuo kikuu John Hopkins cha Marekani
 
Corona nchini Zambia
FB_IMG_1586604555874.jpeg
 
Lakini pia ikiwa PSG itafanikiwa kumuuza straika wake, Neymar kwenda Barcelona, basi dili la Messi kujiunga na miamba hiyo litakuwa rahisi zaidi kwani PSG itakuwa na kaisi cha fedha cha kutosha lakini pia itahitaji kutafuta mbadala wa Neymar
 
SUPASTAA wa Barcelona, Lionel Messi amethibitisha mastaa wa kikosi cha kwanza cha wababe hao wa Nou Camp wamekubali kukatwa mishahara yao kutoka asilimia 30 hadi asilimia 70 katika kipindi hiki cha makabiliano ya janga la maambukizi ya virusi vya corona.
 
Back
Top Bottom