Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi siwez sikiliza hizi za kisasaHizi za kitambo zimenichosha mana nimezisikiliza sana hii week
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwez sikiliza hizi za kisasaHizi za kitambo zimenichosha mana nimezisikiliza sana hii week
Nmeamini
[emoji28][emoji28] mapenzi kama ligi ya mbuzi sjui nini........ah nimeanza kusahau."Dudu liumalo ya nini nilipe kidole?" [emoji445]
[emoji23][emoji23]
Marahabaa hujambow
Poa queen kwa nini rohoMambo chalii
Sawa mtu wa mungu
Nimesikiliza ,naona anaflow kama Kwenye speed120Umesikia mashairi na zile flow?
Kama umeumiss Unataka kusema nini labda? [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Marahabaa hujambow
Nimeukumbuka sana leo, alafu Supplier yupo hapa hapaPoa queen kwa nini roho
Huyu anajua tu mashairi sio flowUmesikia mashairi na zile flow?
Kama umeumiss Unataka kusema nini labda? 😀
Ngoja niwajibie ni hapana bali member wa humu kwa hiari yao ili kuepusha mgogoro usio na maana wanaweka tunaweka kando tofauti zao zetu za kidini.
Hapana bossSaint Anne huyo kwa avatar ni Wewe ??[emoji39][emoji39]