Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lionel Messi -
Euro 409,926 kwa wiki
Ilifichuka mwaka juzi mshahara wa Lionel Messi kwa mwaka ni Euro 71 milioni kabla ya kulipwa bonasi yoyote. Kwa wiki, kabla ya kukatwa kodi analipwa Euro 1.4 milioni. Ukiweka makato hayo ya asilimia hadi 70, supastaa huyo wa Kiargentina, atakuwa analipwa Euro 409,926 kwa wiki.