Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mzee Reddington amenishinda tabia...... anafanya mauaji hakamatwi...majambazi wote na mipango yao anaifahamu yeye tu.

huyu mzee sijui anatuchukuliaje sisi watazamaji.
View attachment 1414084
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
viwanja vya aina zote za mpira, ikiwemo mpira wa mguu, wa kikapu, wa pete, n.k.5. Ina ngazi 16 yenye vyumba vya kulala,migahawa,maduka,hoteli za kiwango cha juu(High class),swimming pool,mandhari yenye miti ya kupumzikia,kumbi za disko,michezo ya kwenye maji.Hiyo ndo OASIS OF THE SEA.
 
Lipstick za mafuta – hizi ni zile zenye mafuta hazichukui muda kufutika, lakini ni nzuri kwa ngozi ya midomo yako hasa kwa wale wenye midomo mikavu husaidia kuto kubabusha ngozi. Kwa sababu hizi ndizo zilikua za kwanza kabla ya kavu ndani yake kuna aina mbali mbali za lipstick lakini zote kwa ujumla uitwa lipstick za mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…