Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nabii Issa ni mwana wa Mariam, kwamba alizaliwa chini ya shina la mtende na mama aliyekuwa bikira.
Nabii huyu aliongea akiwa na umri mdogo.
Mafundisho yananonyesha kwamba hakusulubiwa wala hakufa.
Mwenyezi Mungu amemuhifadhi.
Atarudi kumalizia utumishi wake.
>Atakuja kukanusha kwamba yeye siyo Mungu wala siyo mwana wa Mungu.
>Atakuja kupata ndoa
>Atakuja kukionja kifo.
Kumbuka kuwa
"Kila nafsi itaonja umauti"
Mambo ni mengi ila nadhani hapa siyo mahali sahihi.
Naomba niishie hapo
Kumbe utanifundisha Zaidi si eti?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
News:

NewYork City Mayor Bill Blasip says Public schools to remain closed for the reminder of the school year, due to Covid19.

Every student will be given a device(IPad's / Laptops) to make it easy for online studies. This devices they will keep them forever.



Cc: mahondaw
 
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom