Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nabii Isa Ni Nani?Sisi hatuamini kuhusu hilo.
Nimeweka hayo kwa niaba yenu.
Uslamu unakataa kusulubiwa msalabani Nabii ISSA as, maana aliyesulubiwa amelaaniwa.
Uislam unaamini kwamba wale waliomfukuza nabii Issa hawakufanikiwa kumpata maana Mwenyezi Mungu alimpaaza na kumuhifadhi na baadaye ataletwa kuja kutimiza wajibu wake kama nabii wa Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo aliyesulubiwa si yeye?
Ni nani?
Atarudi kutimiza wajibu upi?
Naomba nijifunze kwako leo
Sent using Jamii Forums mobile app