Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Sawa
Mwaka juzi alijaribu kurudi naona akafail ila alirudi vizuri sema basi tu
[emoji120][emoji120][emoji120] ubarikiwe
Kuna Majini Ujue Alaf [emoji50]
Ndio narekodi
[emoji2960][emoji2960]Hivi kwanini unataka nisiwezane tu?
[emoji23][emoji23]
Wewe umeninyima picha yakoKuna Majini Ujue Alaf [emoji50]
Afadhali Ungeniweka Mimi [emoji39]
Inagoma ku-upload ngoja niandike tu
😂😂😂 noma sana noma sanaHahahaha
Hujatulia Davie nakwambia
Mheshimiwa Nimekwisha kueleza
Picha na voice note ulizoniambia
Lakini hata moja bado hujatimiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila kitu na muda wake Anne ila usijali maisha ya kawaida anafanya vyema, jamaa huwa ni mbunifu wa majengo
[emoji26][emoji26]Inagoma ku-upload ngoja niandike tu
KumbeKila kitu na muda wake Anne ila usijali maisha ya kawaida anafanya vyema, jamaa huwa ni mbunifu wa majengo
Nakudai ujue[emoji23][emoji23][emoji23] noma sana noma sana
Nabii Isa Ni Nani?
Kwa hiyo aliyesulubiwa si yeye?
Ni nani?
Atarudi kutimiza wajibu upi?
Naomba nijifunze kwako leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinga Wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja Myoya aone hapa