Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
😂😂😂😂Naona sasa unafanya mazoezi ya kiuno na bolingo[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante mrembo, na kwako piaHappy Easter to all
Upo ndugu yetu?
Same to you wakishuaHappy Easter to all
Mwanzo nilitaka kukuandikia hivi "inasemekana ni Issa Bin Mariam / Yesu" ila usingizi ulikuwa umenizidi.
Ninyi Yesu si ndio mnamuita Issa? Kama jibu litakuwa ndio basi imani ifate mkondo wake na mjadala uishie hapa sbb Hata wewe hukuwepo.
Ila hizi dini tulizoletewa na Mzungu + Muarabu ukichimbua kila kitu kuna vingine havina majibu kabisa........so the Better way ni kila mmoja aamini anachoamini other wise aje atokee mwenyezi Mungu mwenyewe atupe ukweli wa mambo yote
Amani iwe kwetu