Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jirani shikamoooo karibu pilauAisee..
Naomba basiHahah! Basi hongera sana
Leo palikuwa na utulivu wa haki ya juu hapa sema tu wewe nae ndio ulikuwa jikoni
Ambao sio majirani, tunakarbishwa saa ngapJirani shikamoooo karibu pilau
Hivi huoni huyu mdaka ubuyu yupo hapa? 😀
Kivuruge nae yupo dirishani