The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji2088][emoji2088][emoji2088]mimi huyoNdiyo, ni rahisi tu. Ukiwa na uwezo wa kuyasoma madhaifu yake, unatumia udhaifu huo huo kumfanya awe na tahadhari na wewe kuliko kumpa nafasi ya kukutawala kifikra.
Anzisha viugomvi vya amani vyenye suluhisho la haraka mara kwa mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanazuia za Nini SasaMamlaka ya Usalama wa Anga nchini Tanzania imefuta safari za Ndege zote za abiria za kimataifa na kuweka vikwazo zaidi kwa ndege maalum za mizigo zitakazoruhusiwa kutua nchini, hii ni hatua nyingine ya kupambana na Ugonjwa wa Covid-19. #MillardAyoUPDATES
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa yani.
Kuna mitego unapewa unaona kabisa hapa beki hazikabi.
#mazingirayanakwambiafanyaupesi
#achakuchelewa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha anko wewe
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]nawapa mbinu[emoji2088][emoji2088][emoji2088]mimi huyo
Mungu atupe usiku mwema
Upo na utaendelea kuwepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo hii naweza kulala bila kuoga
Hata mimi nimeshangaa sana