Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Mimi nilishaogaKwahiyo na wewe hujaoga?[emoji16][emoji16]
ππ Akapewa cartonAlikutana na buyer bhana[emoji23][emoji23]
Hukai na sisi
Ili nilewe???Achana na ya choco na asali.
Hiyo ni hatari[emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dahAya mwambie muhudumu akuwekee meza yako kuleee karibu na mlango wa chooni ili uwarahisishie umbali hao viumbe
Poleni sanaMimi nilishaoga
Ila Tangu nije mbeya sijawahi oga maji ya baridi hata kea bahati mbaya.
Hapa nawaza kwenda kulala maana kitanda kimepoa utadhani friji la barafu
Tunasubiri ngoma ya mwezi wa sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa![emoji3][emoji3] Akapewa carton
Hiyo ngoma naipenda.Hahah! Carba anataja vinywaji wewe umeona ngoma tu
@Davet huyu mtu tunamtoa lini out?Ili nilewe???
Ila Mimi sidhani Kama pombe inaweza nilewesha.. Yaani kabisa akili initoke Mimi?
Haiewezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuta kala asingechelewa kuweka picha πππBila picha hapa hatuamini kama umekula pilau tutajua ni Ugali tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo ngoma naipenda.
Tena kipindi huyu mwamba amekuja nilikuwa huko dar..ila nilipokaa nikakumbuka jinsi nilivyoangua kilio kill show Basi hamu ya kwenda kumuona ikakata
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππTena ugali na parachichi
Umewahi fika Dom?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] walahy we mtoto, una vituko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio yale yale ya chai na karoti
Kichwa chako ni kb ngapiIli nilewe???
Ila Mimi sidhani Kama pombe inaweza nilewesha.. Yaani kabisa akili initoke Mimi?
Haiewezekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Na siweki picha ng'oooBila picha hapa hatuamini kama umekula pilau tutajua ni Ugali tu
Energy Siwezi kunywa kabisa kabisaKwahiyo hunywi??
Tukupe chai?[emoji23][emoji23]