Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchoyo eti ngoja nikusaidie kuomba

Kd kd wetu eee nimekukosea nini ,kila unachoniomba king,mieninakupatia

kila ninachokuomba jiraniii eee,mwenzangu wanikataliaaa,

sasa nikueleweje jiraniii eeesasa nikueleweje KD ee

Mimi na wewe ni kitu kimojaaa

Haina maana ooh haina maana kunyimana

Mimi na wewe ni majiranii ee

Haina maana ee haina maana kunyimana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…