Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchoyo eti ngoja nikusaidie kuomba

Kd kd wetu eee nimekukosea nini ,kila unachoniomba king,mieninakupatia

kila ninachokuomba jiraniii eee,wenzangu wanikataliaaa,

sasa nikueleweje jiraniii eeesasa nikueleweje KD ee

Mimi na wewe ni kitu kimojaaa

Haina maana ooh haina maana kunyimana

Mimi na wewe ni majiranii ee

Haina maana ee haina maana kunyimana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mchoyo eti ngoja nikusaidie kuomba

Kd kd wetu eee nimekukosea nini ,kila unachoniomba king,mieninakupatia

kila ninachokuomba jiraniii eee,mwenzangu wanikataliaaa,

sasa nikueleweje jiraniii eeesasa nikueleweje KD ee

Mimi na wewe ni kitu kimojaaa

Haina maana ooh haina maana kunyimana

Mimi na wewe ni majiranii ee

Haina maana ee haina maana kunyimana
Haina maana kuishi kwenye Uzi mmoja halafu ananibania[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpendwa jaribisha kutupia hata kakidole halafu futa tujue kama upo active au una usingizi kweli. Ukute umechoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisema nipo kwenye usingizi mzito hamuamini huyu hapa Hawa
IMG_20200411_195640.jpg
 
Back
Top Bottom