Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hakuna ulipokosea Anko basi tu Swaini zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya usiku mwema Ankoo, tuamke salama kwa mapenzi ya Mungu [emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upande wa chakula ni mtu ajipange kivyake.. Serikali kitu inaweza kwa sasa ni kupea watu maji ya kunawa, kufunga barabara na kucharaza watu viboko wenye wanachelewa kuingia nyumbani.
Inasikitisha sana mkuu, Serikali zetu hizi za kiafrika ni matatizo tu lakini tuombe Mungu atuondolee huu ugonjwa ili maisha yarudi kama zamani
 
Back
Top Bottom